• US$0.00
    raised of $1,500.00 goal goal
0% Funded
0 Donors

No more donations are being accepted at this time. Please contact the campaign owner if you would like to discuss further funding opportunities

Show more
Show less

Mimi Ramadhani Shabani ni Kijana Wakitanzania mwenye kuguswa na matatizo ya waajamii wasiojiweza na leo nawaletea kijana Wakitanzania Adam Mussa, maskini mwenye matatizo yakiafya anaehitaji kufanyiwa upasuaji wa nyonga lakini kakwama kimatibabu kutokana na ukosefu wa pesa.

Nimeamua kulileta jambo hili kwenu wana jamii ili tuweze kumchangia pesa kwaajili ya matatibabu yake. Unaruhusiwa kutoa pesa tasilimu, au kumlipia gharama za upasuaji moja kwa moja katika hospitali.

Kijana huyu anamaumivu makali sana kwani nyonga zake zimesagika na anatakiwa kuwekewa nyonga za bandia. Nimatumaini yangu kuwa kila atakaesoma ujumbe huu ataguswa na atakuwa tayari kumsaidia kijana huyu wa Kitanzania.

Wanadamu sote ni ndugu, tumetokana na Nabii Adam, asili yetu sote ni moja.



Organizer

Ramadhani Shabani Komaji ni Mtanzania mwenye kuguswa na matatizo ya wana jamii kisha huyachukua na kufikisha kwa wahisani waweze kuwasaidia wanyonge

Ramadhani Shabani Komaji ni Mtanzania mwenye kuguswa na matatizo ya wana jamii kisha huyachukua na kufikisha kwa wahisani waweze kuwasaidia wanyonge

No updates for this campaign just yet

Followers

0 followers
No Followers Just Yet...

Support Campaigns

campaigns

Create a support campaign in seconds!

Support campaigns allow you to get your own fundraising page dedicated to 'Saidia Wasiojiweza'

You'll have your own unique link that you can share, and all funds raised will go directly to 'Saidia Wasiojiweza'. It's the ultimate way to show your support!

Create support campaign
US$0.00
raised of $1,500.00 goal
0% Funded
0 Donors

No more donations are being accepted at this time. Please contact the campaign owner if you would like to discuss further funding opportunities