Jan 27, 2017 at 12:10 pm

THANK YOU!!!!

Update posted by Hussein Sudi

Kwa niaba ya familia ya Marehemu Amani J. Chipa, ningependa kufikisha shukrani za dhati kwa wote mliokuwa pamoja na familia kipindi hiki kigumu. Familia inawashukuru sana kwa salamu za rambirambi na maombi yenu kwa Marehemu Amani. Pia Familia inawashukuru wote waliofanikisha kuchangia kipesa, Mwenyezi Mungu awajaalie na kuwazidishia.

Asanteni Sana.

Back to campaign page